Breaking News

IBADA MAALUM YA LITRUJIA YA KUTAWAZWA RASMI ASKOFU ELIBARIKI KUTTA KUWA ASKOFU WA KWANZA TANZANIA WA KANISA LA EAPT

Askofu mkuu wa kwanza wa kanisa la Aglikan katholiko nchini Tanzania, Elibariki Phillip Kutta akiwa na Mkuu wa wakfu na mhubiri Archbishop and Metropolitan Mark Haverland  katika ibada kusimikwa rasmi Askofu wa kanisa la Aglikan katholiko nchini Tanzania ibada ambayo imeudhuliwa pia na Askofu wa Kanisa la Uamsho la Morovian nchini Emaus Mwamakula.
Mkuu wa wakfu na mhubiri Archbishop and Metropolitan Mark Haverland akimpokea Askofu mkuu wa kwanza wa kanisa la Aglikan katholiko nchini Tanzania, Elibariki Phillip Kutta kuanza ibada ya kusimikwa rasmi kuwa Askofu mkuu Elibariki Phillip Kutta katika ibada iliyofanyika katika Viwanja vya Cathedral Mlali.
Askofu mkuu wa kwanza wa kanisa la Aglikan katholiko nchini Tanzania, Elibariki Phillip Kutta akiingia katika ibada ya kula kiapo cha kusimikwa rasmi kuwa askofu mkuu katika ibada iliyofanyika katika Viwanja vya Cathedral Mlali.


Askofu mkuu wa kwanza wa kanisa la Aglikan katholiko nchini Tanzania, Elibaeiki Phillip Kutta akiwa na Mkuu wa wakfu na mhubiri Archbishop and Metropolitan Mark Haverland akisoma somo katika ibada kusimikwa rasmi kuwa Askofu mkuu kanisa la Aglikan katholiko nchini nchini Tanzania Elibariki Kutta ibada ambayo imeudhuliwa pia na Askofu wa Kanisa la Uamsho la Morovian nchini Emaus Mwamakula.
Matukio mbalimbali kutoka katika ibada ya kusimikwa rasmi kuwa askofu mkuu wa kwanza wa kanisa la Aglikan katholiko nchini Tanzania  Elibariki Kutta ibada inayofanyika katika Viwanja vya Cathedral mlali.





No comments