Profesa Lipumba Amechaguliwa Tena Kuwa Mwenyekiti Wa CUF.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjjnNLCHKLW921LM6dGfwNGdwmnquS4RUIoU7DExu0I0fJgoVen4jNI9NfmtGQ6dSAuAYkUkIqfUSahLCKBhvNsgk-b9SyDngO8KRkZnYTz_N3ghFOJB4i_Z2MnxDBvyCz22zdQ4FsoFmVS/s640/IMG_20190313_170445%257E2.jpg)
Professional Ibrahim Haruna Lipumba ameibuka mshindi kwa kuchaguliwa tena kukiongoza chama cha wanachi CUF baada ya kupata kura 516 sawa na asilimia 88.9.
Akisoma matokeo ya uchaguzi huo mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi bw Thadei Ally Juma Alimtangaza profesa Lipumba ameibuka na ushindi huo wa kishindo katika nafasi ya mwenyekiti wa chama.
Pia bw. Juma amemtaja bw Maftaha Nachuma ambae alipata kura 231 sawa na asilimia 48.9 kuwa makamu mwenyekiti wa CUF Tanzania bara, na Bw. Abbas Juma Muhuzi ambae alipata kura 349 sawa na asilimia 69.9 kuwa Makamu mwenyekiti wa CUF Zanzibari.
"Nitekeleza majukumu na kuongoza kwa kushirikiana nao kutokana na kuonyesha ushirikiano wao ukizingatia wengi wenu aliulizwa kushiriki katika siku mbili za mkutano huo kugombea nafasi hizo" Alibainisha Prof Lipumba.

Akizungumza mara baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa chama hicho Prof Lipumba alisema anawashukuru wajumbe wate kwa kumpa kura na kuelezea ushindi huo ni kwa vijana ivyo kuahidi kuendelea kushirikiana nao katika uongozi wake kwani hana shaka nao.

No comments