Video Mpya: Barnaba ft Aslay ”Ngoma”
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjOyYWfvL7w2xScnoX0QjS0IjVmMak1XOiK1M_oDh9hECMJCoA3WHVcYdqTvPZ15piYd4Y8QLySsdcMChMJbaXkxAQVmfnzN9LIfhjyDyubWnuxgjK5Nqop8j9VUEbCf6QdtHMAR0Ul2QW9/s640/1.jpg)
Barnaba ameachia ngoma yake mpya
aliyomshirikisha msanii toka kundi la ya moto band lililovunjika tangu mwaka
jana, dogo Aslay ambaye amekuwa tishio kwa wanamuziki kwa kutoa nyimbo nyingi,
kali na nzuri zinazotamba mtaa kwa mtaa.
Wimbo huo umechezwa katika mazingira
ya kijijini huku mpendezesha video akiwa mwanadada maarufu Tunda.
Tazama video hiyo hapo chini
No comments