Breaking News

UMEISIKIA HII, HII HAPA LIST YA NCHI 10 ZINAZOONGOZA KWA MASUALA YA UCHAWI NA USHIRIKINA DUNIANI, TANZANIA NAYO IMETAJWA

Image may contain: one or more people
Tanzania imetajwa kuwa nchi ya 10 katika orodha ya nchi zinazoamini ktk masuala ya uchawi, ulozi, mapepo, imani za kishirikina na kila aina ya nguvu za giza duniani.

Mtandao wa The Richest umetaja nchi 10 duniani mashuhuri kwa mambo ya ushirikina, Tanzania ikishika nafasi ya 10 ktk orodha hiyo. 

Bara la Afrika limetoa nchi 5, huku nafasi ya kwanza ikishikwa na Indonesia. 

Mauaji ya albino ni moja ya mambo yaliyoipa Tanzania alama za juu katika orodha hiyo.

Orodha kamili ni kama ifuatavyo:
1. Indonesia
2. DRC
3. Ghana
4. Colombia
5. Uganda
6. Papua New Guinea
7. India
8. Nepal
9. Gambia

10. Tanzania

No comments