Breaking News

ADC KUCHAGUA VINGOZI WAPYA WA KITAIFA LEO

Wajumbe wa mkutano mkuu wa ADC wakisikiliza hotuba za viongozi mbalimbali wakati wa ufunguzi wa mkutano huo leo Juni 29, 2024 katika hotel ya lamada jijini Dar es Salaam.

Dar es salaam
Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Mohamed Ali Ahmed akimekipongeza Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), kwa kuweka utaratibu wa ukomo wa uongozi licha ya uchanga wake.

Amesema chama hicho ni kichanga lakini kimezidi kukua, huku kikiwa na wanasiasa wakongwe na wabobezi.

Bwana Ahmed ametoa pongezi hizo leo Juni 29, 2024 wakati akifungua mkutano wa uchaguzi wa chama hicho, unaotarajia kuwezesha upatikanai wa viongozi wapya watakaokiongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

No comments