Breaking News

MABONDIA WATAKAO PANDA ULINGONI KUZICHAPA USIKU WA QUEEN OF BOXING WAPIMA UZITO

List ya mabondia wakataopanda jukwaani katika usiku wa Queen of Boxing utakaofanyika tarehe 21 March 2023 jijini Dar es salaam
Mabondia wanawake Stumai Muki (Kushoto) kutoka Tanzania na Chimwemwe Banda (kulia) kutoka nchini Malawi wakipima uzito tayali kwa kupanda jukwaani kwa ajili ya pambano litakaofanyika katika ubungo plaza tarehe 22 March jijini Dar es salaam.
Promoter na mwangaaji wa usiku wa Queen of Boxing Bi. Khadija Hamisi Akizungumza na waandishi wa habari kuelekea kilele cha usiku wa Queen of Boxing utakaofanyika katika ubungo plaza tarehe 22 March jijini Dar es salaam.

Dar es salaam:
Mabondia watakaopigana kesho  katika usiku wa Queen of Boxing leo tarehe 21March 2023 wamepima uzito katika viwanja vya Las Vegas Mabibo tayali kwa ajili ya kushirki pamabano litakalofanyika katika ukumbi wa ubungo plaza siku ya tarehe 22 march jijini Dar es salaam. 

Katika kuanzimisha siku ya mwanamke duniani ambayo uadhimishwa kila ifakapo March 08 kampuni ya Kwame Promotion imeandaa Tukio la ngumi linaloitwa Queen Boxing ambalo mabondia wanawake tu watachuana vikali pambalo litakalofanyika usiku wa Jumatano tarehe 21 March 2023 katika Ukumbi wa Ubungo plaza. 

Akizungumza na waandishi waa habari mratibu na promota wa pambano hili bi Bi. Khadija Hamisi  amesema Queen of boxing ni pambano la ngumi la kimataifa litakalo wakutanisha mabondia wanawake kutoka nchini ma nje ya nchi.

Alisema siku hiyi kutakuwa na Mapambano zaidi ya saba hivyo kuwataka wapenzi na washabiki wa mchezo huo kujitokeza kwa wingi kushuhudia Burudani ya ngumi kutoka kwa wanawake, kiingilio kuona masumbwi haya ni kama Bure ni elfu tano za kitanzania. 

"Queen of Boxing litakutanisha mabondia wanawake kutoka Tanzania na Nchi jirani ya malawi mbapo watapanda jukwaani kuzichapa katika uzito mbalimbali na kuobyesha jinsi wananwake nao awapo nyuma lupitia mchezo huo" Alisema Bi. Khadija Hamisi

Alisema katika usiku huo wa Queen of Boxing mabondia wanawake kutoka Tanzania na Nchi jirani ya malawi kama Bondia Stumai Muki wa Tanzania atazichapa na Bondia Chimwemwe Banda kutoka Malawi.

Wakizungumza mara baada ya kupikwa uzito kuelekea pambalo ilo bondia Stumai kutoka nchini ametamba kuwa amejipanga kuibuka na ushindi kwa kumchapa mpinzani wake katika pambano hilo ambalo litakuwa la ubingwa wa UBO KG 52 Super fly weight. 

Mapambano mengine yatakuwa ni kati ya Gressi Mwakamele dhidi ya Luckia Alli uzito wa KG 66.9Welter weight, Najma isike dhidi ya Happy Daudi ubingwa wa Taifa uzito wa KG 61.8 light weight, Nasra Msami dhidi ya Felistus Modesto uzito wa KG 61.5 light weight.

Mengine ni pambano la bondia Zawadi kutaka dhidi ya Mphatso Metauza  uzito wa KG 54.9 ubingwa wa Super Batman weight, Sandra Mohamed dhidi ya Ward Selemani uzito wa KG 51.7 ubingwa fly weight na pambano lingine na la Halima Bandola dhidi ya Asia Meshaki uzito wa KG 55.7

No comments