Breaking News

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3 USIKU WA LEO 8 FEB 2023


Mamlaka ya hali ya hewa (TMA) Iimetoa pia angalizo la kuwepo kwa vipindi vya mvua kubwa katika baadhi ya maeneo machache hasa katika mikoa ya Dodoma, Singida, Morogoro, Mtwara na lindi

No comments