Breaking News

TMA YATOA TAADHARI YA UWEPO WA MVUA KUBWA KATIKA BAADHI YA MIKOA

Mamlaka ya hali ya hewa nchini TMA imetoa utabili wa hali ya hewa ambapo imeonyesha kuwa kuna uwezekano wa uwepo wa mvua kubwa katika maeneo machache ya mikoa ya Ruvuma, Songwe, Mbeya, Njombe, Iringa, Morogoro, Mtwara na lindi

Upepo Mkali: Pwani ya Kaskazini ya mwambao wa Bahari ya Hindi
 

No comments