Mchungaji Mashimo: Atolea Ufafanua Video Inayosambaa katika Mitandao Ya Kijamii Inayozaniwa Kuwa Ni Askofu Gwajima
Mchungaji wa manabii na mitume komando mashimo atoa maono aliyopewa na Mungu juu ya mambo mbalimbali yanayotokea nchini hususani sakata linaloendelea katika mitandao ya kijamii nchi kufatia kuvuja kwa video inayomwonyesha mtu akifanana na askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Gwajima.
Akizungumza mapema leo jijini dar es salaam mchungaji mashimo alisema kwa mujibu wa maono yake akiopatiwa ni kwamba tukio linalonekana katika mitandao kuwa ni tukio sio laa kwali na wahusika wameamua kutengeneza tukio hilo kwa lengo la kumchafua mchungaji gwajima.
“Kwa mujibu wa maono nilionyeshwa na Mwenyezi mungu juu ya tukio hilo kuwa ni moja ya matukio ambayo yametengenezwa kwa kujibu wa kumchafua askofu gwajima na mratibu wa tukio hilo wakiwa ni moja wa vingozi wa dini nchini” Alisema Mchungaji Gwajima.
Alisema baada ya kuona kuimalika kwa urafiki kati ya mkuu wa mkoa wa dare s saalm Mhe Paul makonda na mchungaji Gwajima awakupenda kitendo hicho hivyo kuamua kufanya tukio ambalo litapelekea kuwagombanisha viongozi hao na mkakati huo kuratibiwa na baadhi ya viongozi wa dini ambao awapendi na kutokufurahishwa na urafiki wao.
Kuna watu ambao wapo kinyume kati ya mkuu wa mkoa na askofu gwajima kutaka kuwaingiza katika mgogoro kati yao kwa maslahi yao nalitaka kuwataja majina yao lakini nimepokea simu nyingi sana mara baada ya kupata ataarifa kuwa nampango wa kutaja majina viongozi hao wakimsihi kuacha kufanya hivyo kutokana na tayali vyombo vya ulinzi wameshaanza kulifanyia kazi tukio hilo.
Pamoja na kuwepo na sintofahamu hii lakini nisisitize rais Magufuli na serikali anayoiongoza aina ubaguzi wa kidini wala aina uhasama wowote na viongozi wa kidini nchi bali anawapenda sana na kuwajali viongozi wote bila kujali imani na madhehebu yao.
Pia kipekee nipongeze pia kamati ya ulinzi wa mkoa wa dar es salaam kutokana inavyoshirkiana na viongozi wote wa dini nchini katika utekelezaji wake wa majukumu.

No comments