Breaking News

UPDATES: TUTAMTANGAZA KATIBU WA CHAMA LEO MCHANA - LISU

Mwenyekiti mteule wa chama cha Demokrasia na maendeleo ( CHADEMA), Tundu Lissu amesema anatarajia kutangaza jina la atakaye kuwa katibu mkuu wa chama hicho mapema leo January 22, 2025.

Akizungumza mapema leo wakati akihutubia wajumbe wa chama kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar Es Salaam

"Leo saa tisa tunawaletea baraza kuu jina la katibu mkuu wa chama chetu ambaye pengine atamrithi katibu mkuu John Mnyika na jina la naibu katibu mkuu Zanzibar na naibu katibu mkuu wa Tanganyika"
 

No comments