Breaking News

Naibu Meya Kumbilamoto Apokea Msaada wa Tani 5 Za Chokaa Na Niru Kutoka T.O Gas Ltd.

Naibu Meya Wa Manspaa ya Ilala Omary Kumbilamoto ameishukuru kampuni ya T.O Gas Ltd Kwa msaada wa Tani 5 Kasoro za chokaa na Niru kuunga mkono Jitihada ya Ujenzi na ukarabati wa shule za sekondari na msingi katika manspaa ya Ilala.

Alisema msaada huo umekuja kipindi muafaka ambapo manspaa hiyo imekuwa ikichukua hatua za ukarabati na ujenzi wa shule za sekondari kwa lengo la kuboresha mazingira ya shule hizo. 

“Nitoe Shukran Za Dhati Kwa Kampuni Ya T .O  Gas  ,Limited kwa msaada huu kwa Ajiri Ya Ujenzi Unaoendelea Ktk  Shule Zetu Za Municipal Ya Ilala Kampuni Hii Imevutiwa Na Kasi Ya Ujenzi Wa Shule Zetu Za Secondary Na Za Msingi kuunga Mkono Juhudi Za Serikali Kuboresha Elimu "Wahenga Walisema Kutoa Ni Moyo Sio Utajiri" Alisema Meya Kumbilamoto.
Naibu Meya Wa Manspaa Ya Ilala Omary Kumbilamoto Akitoa Neno La Shukrani Mara Baada Ya Kupokea Msaada Huo
Nikiwa Na Mwakirishi Wa Kampuni Hiyo Pamoja Na Afisa Usafirishaji Municipal Ya Ilala Kiongozi Wangu Hamida Ahmed Tukipokea Msaada Huo Mungu Ijalie

No comments