Siku
20 tangu mkali wa Bongo Fleva Diamond Platnumz kuachia video zake mbili mpya ya
‘Fire’ aliyomshirikisha muimbaji wa Nigeria Tiwa Savage na ‘I Miss You’, Julai
10 2017 ameamua kuachia video nyingine mpya ya wimbo wake mpya wa ‘Eneka ambao aliuachia
kwa kushitukiza.
Itazame
hapa chini
VIDEO MPYA: DIAMOND PLATNUMZ - ENEKA
Reviewed by Harakati za jiji
on
July 11, 2017
Rating: 5
No comments