WAZIRI NCHEMBA AMEPOST UJUMBE HUU MARA BAADA YA RAIS MAGUFULI KUKABIDHIWA RIPOTI YA PILI YA MCHANGA WA MADINI
Hakuna uzalendo
zaidi ya kulinda rasilimali za Taifa, Hakuna utetezi wa wanyonge zaidi ya
kulinda rasilimali zao.
Hongera sana
Mh.Rais kwa uzalendo wa vitendo kwa Taifa letu.
Naelekeza wote waliotajwa kuhusika hakuna kutoka nje ya mipaka ya nchi yetu isipokuwa kwa kibali maalum kutoka serikalini.
Vyombo
vitekeleze maagizo ya Rais kwa utimamu.
Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi.
12/06/2017
Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi.
12/06/2017
No comments