Breaking News

UPDATE: BAADA YA MAHOJIANO YA SAA 4 MAKAO MAKUU YA POLISI KUHUSU UCHOCHEZI, MHE LOWASSA AACHILIWA KWA DHAMANA.

Image result for lowasa

=> Lowassa ameachiwa kwa dhamana baada ya kujidhamini.

=> Alihojiwa kuhusiana na Uchochezi

=> Atakiwa kurudi Alhamis ya wiki hii kwa mahojiano zaidi. 

Mahojiano Kati ya Mh Lowasa na DCI yamechukua masaa 4. Atatakiwa kureport tena sku ya Alhamisi,saa 6 mchana.

Sababu za kuhojiwa kwake ni juu ya kauli alizozitoa wakati wa futari alipokuwa akiongea na waumini wa dini ya kiislam.

Hatma ya alichoitiwa itajulikana siku ya Alhamisi.


By Wakili Peter Kibatala.

No comments