Breaking News

TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO (BACHELOR DEGREE, MASTERS NA PHD), DIPLOMA NA CERTIFICATES TOKA CHUO KIKUU CHA SAUT- MWANZA


Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania kampasi ya Mwanza, kinakutangazia nafasi za masomo katika ngazi ya:
• Shahada ya Kwanza (Bachelor Degree)
• Shahada ya Uzamili (Masters)
• Shahada ya Uzamivu (PhD)

Kwa mwaka wa masomo 2017/2018 utakaoanza mwezi wa 10 mwaka 2017

UNDERGRADUATE PROGRAMMES:
1. Bachelor of Business Administration
2. Bachelor of Science in Procurement and Supply Chain Management
3. Bachelor of Science in Tourism
4. Bachelor of Arts in Mass Communication
5. Bachelor of Arts in Public Relations and Marketing
6. Bachelor of Arts in Sociology
7. Bachelor of Arts in Economics
8. Bachelor of Arts in Philosophy
9. Bachelor of Philosophy with Education
10. Bachelor of Arts in Religious Studies
11. Bachelor of Science in Electrical Engineering
12. Bachelor of Science in Civil Engineering
13. Bachelor of Laws
14. Bachelor of Arts with Education

POSTGRADUATES PROGRAMMES:
1. Master of Sociology, Master of Laws
2. Master of Education Management and Planning
3.Master of Higher Education Management and Development
4. Master of Arts in Linguistic
5. Master of History
6. Master of Business Administration
1. Postgraduate Diploma in Accountancy and Finance
2. Master of Arts in Economic
3. Master of Arts in Mass Communication
4. Doctor of Philosophy in Mass Communication
5. Doctor of Philosophy in Law

Programu hizi pia zinapatikana katika Kampasi za Arusha na Mbeya
Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania kampasi ya Mwanza, kinakutangazia nafasi za masomo katika ngazi ya DIPLOMA naCERTIFICATES kwa mwaka wa masomo 2017/2018 utakaoanza mwezi wa 10 mwaka 2017.

DIPLOMA PROGRAMMES:
1.    Ordinary Diploma in Accountancy
2.    Ordinary Diploma in Business Administration
3.    Ordinary Diploma in Psychology and Counseling
4.    Ordinary Diploma in Journalism and Media Studies
5.    Ordinary Diploma in Procurement and Supply Chain Management
6.    Ordinary Diploma in Computing, Information and Communication Technology
7.    Ordinary Diploma in Computer Science
8.    Ordinary Diploma in Law

SIFA ZA MWOMBAJI:
i) Mwombaji awe amehitimu kidato cha sita na amepata alama za ufaulu kiwango cha principal pass moja.    AU
ii) Mwombaji awe amehitimu kidato cha nne na awe amepata alama za ufaulu kuanzia “D” 4 na awe na Astashahada katika fani husika.


CERTIFICATES PROGRAMMES:
1.    Basic Technician Certificate in Law
2.    Basic Technician Certificate in Business Administration
3.    Basic Technician Certificate in Accountancy
4.    Basic Technician Certificate in Health Administration
5.    Basic Technician Certificate in Tourism Enterprise Management
6.    Basic Technician Certificate in Logistics and Supply Management
7.    Basic Technician Certificate in Journalism and Media Studies
8.    Basic Technician Certificate in Computing, Information and Communication Technology
9.    Basic Technician Certificate in Computer Science

SIFA ZA MWOMBAJI:
i) A amehitimu kidato cha nne na awe amepata alama za ufaulu kuanzia “D” 4 katika masomo yasiyo ya dini. Kwa waombaji wa kozi za Accountancy, Computer Science, na Information Technology wanatakiwa wawe na ufaulu wa “D” katika somo la hesabu.


• Maombi yameanza kupokelewa chuoni kuanzia tarehe 15/05/2017
. Fomu za maombi zinapatikana chuoni au katika tovuti ya chuo www.saut.ac.tz
•  Unaweza kufanya maombi kwa njia ya kielektroniki (Online application) kupitia tovuti ya chuo.

NAMNA YA KUTUMA MAOMBI:
Maombi yote yatumwe moja kwa moja chuoni katika ofisi ya msajili.

Kwa maelezo zaidi kuhusu kozi tembelea tovuti yetu: www.saut.ac.tz

Au wasiliana nasi kwa anuani:
Ofisi ya Msajili
Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania
S.L.P: 307
MWANZA, Tanzania

Tel: 028 29 81186, 028 29 81187
Mob +255 744 509 110
+255 769 759 622
Email: admission@saut.ac.tz

No comments