BODYLINE HEALTH & FITNESS KUFANYA TAMASHA LA MICHEZO KESHO JIJINI DAR
Mkurugenzi wa kituo cha mazoezi ya Bodyline
Health &Fitness, Abbas Jaffer Ali (katikati) akiongea na waandishi wa
habari wakati akitangaza tamasha la michezo linalotarajiwa kufanyika Aprili 22,
2017 Mayfair jijini Dar es Salaam. Pembeni ni Katibu Mkuu - Shirikisho la
Watunisha Misuli Tanzania, Francis Mapugilo (kulia) na mwalimu wa mazoezi.
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Watunisha Misuli
Tanzania, Francis Mapugilo (katikati) akisisitiza watzania kujitokeza kwa wingi
kushiriki mazoezi.
Baadhi ya washiriki wa mchezo wa kutunisha
misuli wakionyesha umahili wao.
No comments