Breaking News

MAMA KANUMBA: AHIKUWA RAHISI MAISHA BILA KANUMBA

Mama mzazi wa nyota wa filamu nchini Steven Kanumba , Bi Florah Mtegoa, amesema rahisi na bado sio jambo jepesi kuamini ikiwa sasa ni miaka 12 tangu kifo cha mwanaye Steven Kanumba.

Akizungumza mara baada ya kuwasili katika tamasha la kuwaenzi wasanii waliofariki ni moja ya faraja kubwa kwake na kwa tandia kwa ujumla 
"Ni miaka 12 ya kifo cha mwanangu  Kanumba ila kila siku nao kama ni jana tu katika kipindi chote imeniwa vigumu sana kama mzazi" Alisema 

Alisema tukio hili la kuwaenzi na kuwakumbuka ni moja ya jambo jema sana na linatia Faraja hususani kwetu tuliopoteza wapendwa wetu

Bi. Flora aliongeza kwa kusema kuwa kwa dhati kabisa nitoe pongezi zangu kwa Steve Nyerere kwa kuandaa jambo hili na kuwaenzi wenzetu waliotangulia mbele za haki. 

No comments