Breaking News

TCRA YAKUTANA NA WATENDAJI WAKUU WA VITUO VYA RUNINGA VYENYE LESENI YA KITAIFA

Watendaji Wakuu wa Vituo  mbalimbali vya Runinga vyenye leseni ya kitaifa, wakiwa  katika Kikao-Kazi kilichoandaliwa na TCRA Kwa lengo la  kujadili maboresho ya uwasilishwaji wa maudhui kupitia vituo vyao,  Leo hii tarehe 24 Februari 2023

Kikao hicho kimeazimia kutoa maudhui bunifu yanayokuza maadili ya kitanzania na kuendana na Kanuni za Utangazaji



No comments