Breaking News

NAIBU WAZIRI KIKWETE ATAKA UJENZI WA NYUMBA ZA IBADA KUFUATA UTARATIBU

Na Mwandishi Wetu-Dodoma.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete ameagiza ujenzi wa nyumba za Bada kufuata utaratibu wa mipango miji ilikuepuka usumbufu ikiwemo kuvunjiwa.

Amesema hayo katika ziara ya kuzunguka kwenye maeneo yenye changamoto za Ardhi katika maeneo ya  jiji la Dodoma,

Katika ziara hiyo Mhe Kikwete amefika mtaa wa Kisasa ambapo amejionea kanisa la Anglikana lililojengwa bila kufuata taratibu za umilikishwaji na bila kibali cha ujenzi ambapo ameagiza kusimamishwa kwa ujenzi wake mpaka hapo taratibu za kimamlaka kufuatwa. 




 

No comments