Breaking News

KAMISHNA KIDATA AWATAKA MAWAKALA WA FORODHA KUJIENDELEZA KITAALUMA

Na Timothy Marko
Wito umetolewa na Kamishina wa Kodi wamamlaka ya ukusanyaji wa Kodi nchini TRA Mkurugenzi wataasisi hiyo alphayo kidata kwa wananchi kuweza kushirikiana na Mamlaka hiyo kuweza kuwafichua wafanyabishara wanaojihusisha na Biashara za magendo hasa katika Maeneo ya Mipaka ya Bahari na nchi kavu ilikuweza kuimarisha uchumi nchini.

Akizungumza katika utoaji wa vyeti kwa wataalamu wa fani ya Forodha jijini Dar es Salaam, Bwana Alphayo kidata amesema kuwa lengo ya taaluma ya Forodha ni kulinda Afya za walaji wa Bidhaa na kudhibiti Biashara za magendo.

Taasisi za kiforodha zimekuwa na taasisi za kimataifa katika kuhakikisha miongozoya kimataifa katika utumiaji wa Bidhaa unazingatiwa. Alisema kidata.

Kamishna Kidata amesema kuwa mamlaka yakodi pamoja na taasisi zakiforodha katika kuhakisha Miongozo ya kimataifa inazingatiwa.

Alisema  Lengo latasnia yaforodha nchini nikuhakisha bidhaa zinazoletwa hapa nchini zinakidhi viwango vya kitaifa nakimataifa.

"Majukumu ya kiforodha ni kulinda afya na bidhaa zinazoingia ndani zinakidhi viwango vya ubora na kudhibiti biashara za magendo". Aliongeza kamishina kidata.

No comments