Breaking News

Waziri Dkt. TAX Ahudhuria Mahafali ya Darasa la Saba Shule ya FEZA

Wazir wa Ulinzi  Dkt. Stergomena Tax akimkabidh Cheti cha Taaluma  mwanafunzi aliyefanya vizuri  Mithiani ya Shule ya Feza Nyelwa Baraka katika mahafali ya Darasa la saba 2021 (kulia) Mkuu wa Shule za Feza Mr Ibrahim Yunus sherehe hiyo imefanyika katika viwanja vya shule ya msingi Feza kawe jijini Dar es salaam.
Wazir wa Ulinzi  Dkt. Stergomena Tax akizingumza katika mahafali ya 18 ya shule ya msingi FEZA yaliofanyika katika shule hapo kawe jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Shule za Feza Mr Ibrahim Yunus akifafanua jambo katika mahafali ya darasa la saba 2021ya shule ya hiyo yaliyofanyika katika viwanja vya shule hiyo kawe Jijini Dar es salaam
Wazir wa Ulinzi Dr Stergomena Tax akimpongeza Mwanafunzi bora 2021 Feza Nyelwa Baraka mara baada ya kusaini kitabu maalumu cha Shule hiyo kama alama ya wanafunzi waliofanya vizuri Darasan. (kushoto) ni Mwenyekiti wa Shule za Feza Mr Ismail Yilmaz, na kulia wa (kwanza) Mustafa Cerik mkuu wa Shule ya msingi Feza, anayefatia ni Mkurugezi wa Shule za Feza Mr Ibrahim Yunus, katika mahafali ya Darasa la saba 2021 yaliyofanyika katika viwanja vya shule hiyo kawe jijini Dar ea Salaam.

Wazir wa Ulinzi Dkt Stergomena Tax na Mwenyekiti wa Shule za Feza Mr Ismail Yilmaz wakibadilishana mawazo mara baada ya kukabidhi vyeti kwa wahitimu wa darasa la saba wa shule ya msingi fedha 2021 yaliyofanyika katika viwanja vya shule hiyo kawe jijini Dar es salaam



Wazir wa Ulinzi Dkt Stergomena Tax akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi walihitimu darasa la saba 2021 katika mahafali ya 18 yaliyofanyika shuleni hapo kawe jijini Dar es salaam 

No comments