Breaking News

K4S Security Rasmi Yatangaza Kudhamini timu Afrika Sport Ya Ligi Daraja la Kwanza

Na: Timothy Marko
Katika kuhakisha Soka la Tanzania linakuwa hapa nchini, kampuni ya Ulinzi ya K4S imeamua kuidhamini timu ya African sports ya mjini Tanga.

Akizungumza katika mkutano wa waandishi wa Habari jijini Katibu wa  timu ya African sports Khatibu Enzi alisema lengo ya kuingia mdhamini wa timu hiyo Kwa kipindi cha Mwaka moja unalenga kufikisha kwenye ngazi ya ligi kuu katika msimu ujao wa ligi.

"Tumecheza play off tumeshindwa lakini msimu ujao tutajita hidi kuingia kwenye ligi kuu''. Alisema Katibu wa African sports Khatibu Enzi.

Bw. Enzi alisema utambulisho wajezi hizo ya timu hiyo inatarajia kukuza ushindani wa timu zinazotarajiwa kuingia ligi kuu msimu ujao.

Naye  Mhamasishaji wa timu  hiyo Nico skanda amesema timu ya African sports ilianzishwa Mwaka 1932  ambapo awali ilijulikana kama wana kimalumalu''

No comments