DIKUPATILE Awapongeza Madiwani Kuisimamia Vyema Halmashauri ya KISARAWE na Kupelekea kupata Hati Safi Miaka Mitatu Mfululizo
Na Mwandishi wa Halmashauri KISARAWE DC.
MWENYEKI wa Halmashauri ya wilaya Ya KISARAWE Mhe Hamis Abdallah Dikupatile amelipongeza Baraza la Madiwani Analiliongoza kwa Kumshauri na Kumuelekeza juu ya Usimamizi na Matumizi Bora ya Fedha za miradi Ya Serikali ya Awamu ya Tano Tokea Aingie Madarakani Kuliongoza Baraza Hilo la Madiwani KISARAWE.
"Napenda kuwapongeza Madiwani Wenzangu Kwa Ujasiri wa Kudhubutu Kusimamia Vyema Fedha za Miradi Mbalimbali kutoka 2015/mpaka 2020 alisema DIKUPATILE.
Napenda kuwaombea Dua Kwa Allah sw Madiwani Wote Tulio Hai Humu na na walio Tangulia Mbele za Haki wafike Salama huko alimalizia DIKUPATILE.
Nae Mkuu wa Mkoa wa Pwani Eng Evarist Ndikilo alihuduria kikao Hicho Pamoja na timu ya mkoa pwani na kutoa Agizo kwa Mkurugenzi Kusimamia Vyema Kujibu Hoja za CAG kwa wakati ndani ya wiki Mbili kutoka Leo.
"Napenda kuwapongeza wote KISARAWE kwa kupata HATI safi ilaa na hizi Hoja Zote za CAG nataka zijibiwe ndani ya muda muwafaka Wa Wiki mbili alisema ENG Ndikilo.
Mwezi Huu ni Muda wa Mwisho kwa Mabaraza Yote Madiwani Nchini Kuvujwa Kwa mujibu wa Sheria ya Tanzania.
Madiwani wa Halmashauri ya manispaa ya kisarawe wakiwa katika kikao hicho.
No comments