MARINGO MIA YA MHE. DKT. SAMIA NA MBUNGE WA JIMBO LA BUKOBA MJINI WAKILI STEPHEN BYABATO 2020-2025
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato anamshukuru sana Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwezesha Miradi Mikubwa na ya kimkakati kutekelezwa katika Jimbo la Bukoba Mjini kwa kipindi kifupi cha Uongozi wao.
Aidha anawashukuru sana wananchi wa Jimbo la Bukoba Mjini kwa kuipokea vema na kushirikiana na viongozi wa Mkoa na Wilaya kuhakikisha miradi hiyo inatekelezwa na kukamilika kwa wakati.
No comments