Waziri Mkuu Atoa Pole Kwa Naibu Katibu Mkuu Wa Ccm Zanzibar Kufuatia Kifo Cha Mke Wa Katibu Mkuu Huyo.
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akimpa pole, Naibu Katibu Mkuu wa CCM – Zanzibar, Abdallah Juma Mabodi
ambaye amefiwa na Mkewe, Dkt. Badriya Abubakar Gurnah wakati alipokwenda
nyumbani kwa wazazi wa marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam Juni 23, 2019
kutoa pole kwa familia. Katikati ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi
Seif Iddi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments