Picha ya pamoja
kati ya viongozi wa Tume na viongozi wa dini.
Mikutano hii
inafanyika ikiwa ni maandalizi ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga
Kura.
Viongozi wa dini wakifurahia muonekano wa kadi ya mfano ya mpiga kura punde
baada ya kuchapishwa.
No comments