Breaking News

Taasisi ya Maisha Hai Initiave Yaendesha Mafunzo Ya Utengenezaji Mifuko Mbadala kwa Wajasiriamali 150 Dar

Mtendaji Mkuu wa taasisi hiyo, Bi. Liberatha Kawamala kitoa maelekezo namna ambavyo mifuko rafiki wa mazingira mafunzo yaliyofanyika katika Shule ya Sekondari ya Juhudi iliyopo Gongolamboto wilayani Ilala jijini Dar es salaam.

Mmoja wa wawezeshaji kutoka Taasisi ya Maisha Hai Initiave akitoa mafunzo kwa washiriki wa mafunzo ya siku moja ya namna ya kutengeneza mifuko ya rafiki wa mazingira mafunzo hayo yaliyofanyika katika Shule ya Sekondari ya Juhudi iliyopo Gongolamboto wilayani Ilala jijinii dar es salaam.

Washiriki wa mafunzo hayo wakiendelea na mafunzo ya siku moja yaliowakutanisha washiriki zaidi 150, yaliyofanyika Shule ya Sekondari ya Juhudi iliyopo Gongolamboto wilayani Ilala jijini Dar es salaam.

No comments