Mchingaji Mashimo: Atolea ufafanuzi Ushindi wa Simba Na kumtaka Manara kuangalia Kauli Zake
Mchungaji wa manabii na mitume nchini Komando mashimo ametolea ufafanuzi tuhuma ambazo zimekuwa zinasamba katika mitandao ya kijamii kufatia kauli alioitoa katika moja ya mikutano yake na waandishi wa habari kuwa timu ya Simba aitaweza kuchukua wa ligi mwaka huu.
Akizungumza ofisini kwake jijini dar es salaam mchungaji mashimo alisema kwa mujibu wa maono ambayo amekuwa akipokea katika kipindi chote sijawahi kutoa utabiri ambao ukaenda kinyume labda itokee muhusika afate ushauri ambao mara nyingi amekuwa akiutoa mara baada kutanga maono hayo.
"Ikumbukwe kuwa kila mara napo itisha mikutano yangu na waandishi wa habari nimekuwa nikitoa maono ambayo yamekuwa yakitimia kwa asilimia mia sijawahi kutoa unabii ambao akuwahi kitimia katika kipindi chote". Alisema Mchungaji Mashimo.
Msikilize mchungaji mashimo hapa...
Msikilize mchungaji mashimo hapa...
No comments