Prof LIPUMBA Apanga Safu Ya Uongozi, Ateua Wakurugenzi Na Manaibu, Wakurugenzi
Mwenyekiti wa Chama cha wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba amefanya uteuzi wa wakurugenzi na Manaibu wakurugenzi wa chama hicho kwa mujibu wa katiba ya chama hicho ibara ya 91 (1) (f) ya mwaka 1992 baada waliokuwepo kumaliza mda wao.
Akizungumza makao makuu ya chama hicho buguruni jijini Dar es Salaam alisema baada ya ya kushauriana na Makamu Mwenyekiti wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara juu ya uteuzi wa viongozi hao.
Profesa Lipumba amewataja wakurugenzi na Manaibu wakurugenzi kuwa ni Mhe. Zaynab Amir Mndolwa Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi, Naibu mkurugenzi ni Omary Mohamed Omary, Mhe Mohammed Habibu Mnyaa ameteukiwa kuwa kuwa mkurugenzi wa Mambo ya Nje, bunge na sera, naibu mkurugenzi ni Mohamed Ngalangwa.
Amewataja wengne kuwa ni Mhe Mneke Jafar mkurugenzi wa Mipango na Uchaguzi, naibu mkurugenzi ni Mohammed Vuai Makame, Mhe Abdul Juma Kambaya ameteuliwa kuwa mkurugenzi Habari, Uenezi a Mahusiano na Umma, naibu mkurugenzi ni Mbarouk Seif Salim.
Wengine ni Haroub Mohamed Shamus ambaye atakuwa mkurugenzi Haki za Binadamu na Sheria naibu mkurugenzi ni Salvatory Magafu, Mhe Thinney Juma Mohammed ameteuliwa kuwa mkurugenzi wa Mafunzo na Uhamasishaji naibu mkurugenzi ni Mosoud Omary Mhina.
Pia kamati ya uongozi imemteua bw Yusuph Mohammed Mbugiro kuwa afisa tawala wa afisi kuu Dar es Salaam.
Aidha profesa lipumba pia amefanya uteuzi wa wenyeviti na makamu wenyeviti, makatibu na Manaibu makatibu watendaji wa chama.

No comments