Cuf kufanya Mkutano Mkuu Machi 12 Jijini Dar
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjoGXSLOFD1dOUqnpyJMpEr41ruHS_2MMCgx-AgeKu5oEj6vQO9TfpRBi4YdS2sRFlOW-Qym1h_W3IWjiIsibO6ltisC8GXaC5kMvIRaaWw-sf7v-J0qoO8IOXukyRv0qnSkYJRqvxp1Xl9/s640/IMG_20190306_112719.jpg)
Mwenyekiti wa CUF Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa habari. Makao makuu ya chama hicho Jijini Dar es Salaam.
Chama Cha Wananchi (CUF) kinatarajia kufanya mkutano mkuu Taifa utakaofanyik kuanzia tarehe 12 hadi 15 kwa ajili kufanya maboresho na mabadiliko mbalimbali ya viongozi pamoja katiba jijini dar es salaam.
Akizungumza na makao makuu ya chama hicho buguruni jijini Dar es Salaaam, Kaimu katibu mkuu Chama Cha Wananchi Taifa (CUF) Jafar Mneke alisema kabla ya kufanyika kwa mkutano huo kutakuwa na mkutano maalum mkuu utaofanyika terehe 8 na 9 mwezi huu makao makuu Jijini Dar es Salaam.
"Kabla ya mkutano mkuu kutakuwa na vikao vya wajumbe wa baraza kuu pamoja na wajumbe wa mkutano mkuu taifa" Alisema Bw. Mneke.
Alisema kupitia mkutano huo utafanya uchaguzi wa viongozi taifa, kufanya mabadiliko ya katiba ya chama, nawaomba wajumbe wa mkutano wajitokeze kwa wingi kushiriki mkutano huo.
Aidha bw. Mneke aliongeza kuwa kupitia mkutano huo watapata wanachama wote waliokidhi vigezo vya kuwa wnachama hai watapata kuomba kugombea nafasi mbalimbali za uongozi pamoja na fursa ya kufanya mabadiliko katiba ya chama ili kuendana na sheria mpya ya vyama vya siasa ambavyo tayari imeanza kufanya kazi.

![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhz0MmAQiOFUFxUrHxf-Hz_oHSJgfM8Rpqu-LrVSKkDIPTujgI7DEbcgbQ5cUhFyZtAmr7rbaKOT0Aqx96UPWUqSb8fA-pb_qmyrdeXZKymhMaWhUei6I7gQ3z1OX2Oa8a3FdoviTFnx0P2/s640/IMG_20190306_111747.jpg)
No comments