Yanayotarajiwa Katika Simu Mpya Aina Ya CAMON CM Kutoka TECNO!
Kampuni ya simu za
mkononi TECNO Mobile Ltd imeendeleza cheche zake katika kuhakikisha inazalisha
bidhaa stahiki kufuatia ongezeko la watumiaji wa simu na matumizi mbalimbali
kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia.
Mwaka jana kulikua
na tetesi za kuwa kwa mwaka 2018 wanatarajia kutoa simu mpya ambayo itakua ya
kwanza kutoka kwao na itakua ya kipekee kulingaisha na simu zilizotangulia
awali.
Kumekua na habari mbalimbali
kutoka kwa wafuatiliaji wa teknolojia kuwa, kwa mwaka 2018, kampuni ya simu za
mkononi TECNO Mobile Ltd itatoa muendelezo wa toleo la CAMON, kwanai mwaka jana
muda kama huu walitoa muendelezo wa simu ya CAMON na kutoa CAMON CX na ilikua
ni moja ya simu iliyokubalika sana kwa wadau na watumaji wa bidha z TECNO.
Hivo inaamika kwa
mwaka huu pia watatoka na muendelezo huo. CAMON CX ilikua ni simu yenye uwezo
mkubwa wa Camera kwani ilikua na MP 16 kamera ya mbele na nyuma na hivyo kuteka
soko kubwa la watuamiji wa simu janja (SmartPhone).
Kwenye hii simu
mpya kunauwezekano ikawa na vitu vizuri zaidi kutoka na tafiti za watumiaji na
wadau wa simu kutoka TECNO!
Muundo : Kutokana
na mabadiliiko ya tekinolojia makampuni ya simu yamekua yakibadilisha upepo na
kwenda na mabadiliko ya kitekinolojia na mahitaji ya watumiaji wa simu janja
(SmartPhone), hivyo simuu hii mpya inataraajiwa na kuwa na skirini nzima yenye
kioo!
Kamera: Simu za nyuma
zimekua zikifanya vizuri kwa upande wa kamera, kwenye simu hii kamera inaweza
ikawa ni FULL HD.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhjgtcsSdrc8UuWSy-NFfhaOuQB0z1Okmt0GomrBLKqBqih8CWbOv7ph0ifaMQTmES3TVd8JG11vcJ0bUKkFdcwlLOSTwHRG8h-mQKu-P_WhEgf_W53rPEh-n3e5MxvJzbxcohLUI9MvhZs/s640/kamera.jpg)
Bei nafuu : Bei
yake inawezakufika kwenye laki 3 (300,000 TZS),
bei itakua nafuu kulinganisha na Phantom 8
iliyozinduliwa mwaka jana ambayo bei yake ilikua juu kidogo.
Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti ya TECNO www.tecnotz.com na kurasa zao za mitandao yao
ya kijamii.
No comments