Breaking News

Hii Hapa Video Mpya Ya Roma Mkatoliki- Zimbabwe

Msanii wa hip hop Bongo, Roma ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Zimbabwe’ ambayo imeongozwa na Nicklass, audio amefanya Bin Laden ndani ya studio za Tongwe Records.


Tazama kwa kubonyeza Play Hapo chini:-

No comments