Breaking News

PICHA: MECHI YA KIRAFIKI KATI YA YANGA JUNIOR VS HALELUYA FC KUTOKA KOREA


 















Mchezo huo ambao umechezwa katika uwaja wa uhuru na kushuhudiwa na waziri wa habari, utamaduni,sanaa na michezo Mhe Harson Mwakyembe pamoja na balozi wa korea nchi Dkt. Song Geum-Young umemalizika kwa sare ya bila kufungana.

No comments