MAUJANJA: JINSI YA KUTUMIA ACCOUNT MBILI ZA WHATSAPP KWENYE SIMU MOJA
Watu wengi
sana wamekuwa wakitafuta njia ya kuweza kutumia whatsapp mbili tofauti kwenye
simu moja.
Leo nitatoa
maelekezo mafupi ambayo yatakuwezesha kutumia whatsapp mbili kwenye simu
yako.Fuata hatua zifuatazo…
Hatua ya kwanza
Download App
inayoitwa parallel space kwenye play store
Hatua ya pili
Kama simu yako ni
line moja basi weka line nyingine ambayo unataka iwe whatsapp yako ya pili
Hatua ya tatu.
Install
application uliyo download kwenye Step 1(parallel space )., kisha ifungue.
Hatua ya nne
Utakapofika kwenye
kipengele kinachotaka kuweka number ya simu hapo utaweka namba yako ya pili ili
uweze kuwa na whatsapp mbili
Hatua ya tano.
Utaendelea na
Steps za kawaida kama ulivyojiunga na whatsapp ya kwanza.
Mpaka hapo utakuwa
umefanikiwa kuweka na kuanza kutumia whatsapp mbili kwenye simu moja.
No comments