KUTOKA KARATU: WANAFUNZI ZAIDI YA 26 WAHOFIWA KUFA KATIKA AJALI YA BASI

Wanafunzi
zaidi ya 20 wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali ya basi iliyotokea wilayani
Karatu leo asubuhi.
Habari
zinaarifu kuwa , basi hilo limeanguka kabla ya kuingia karatu mjini na kuua
watoto wengi .
Inaarifiwa
kuwa Wanafunzi hao ni wa shule inayoitwa
Lucky Vicent ya Arusha ambao walikua wanaenda karatu kufanya mitihani ya
mashindano na shule za karatu.




No comments