TUNDU LISU: HAIJAWAHI KUTOKEA NAFASI YA JAJI MKUU IKAWA WAZI KWA MIEZI 5 TOKEA UHURU
Akiwasilisha
bajeti kivuli ya wizara ya katiba na sheria.Mhe.Tundu lissu amesema ni aibu
kubwa kama taifa kuwa na mhimili ambao haujakamilika kwa zaidi ya miezi 5
Lissu
ametolea mfano mhimili wa serekali na bunge na kusema una viongozi wake.Rais
kwa serekali na Spika kwa bunge wapo.
Amehoji
iweje mahakama mpaka leo haina jaji mkuu?Amesema ni kumaanisha kuwa ma jaji wa
mahakama kuu na rufaa na mawakili nchini wote hawana sifa ya kushika nafasi hiyo?Amesema
vipi kuhusu majaji wa jumuiya ya madola?Si wapo kama nchini hamna mwenye sifa?
Amemaliza
kwa kusema toka tumepata uhuru hamna rais aliicha mahakama bila jaji mkuu kwa
kipindi kirefu kama Magufuli.
No comments