Picha: Mwenyekiti Wa Chama Cha Mapinduzi Rais Magufuli Akiendesha Kikao Cha Kamati Kuu Ya Halmashauri Kuu Ya Taifa Ya CCM Jijini Dar
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli akijiandaa kuendesha Kikao cha Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Rais wa Zanzibar ambaye pia ni
Makamu Mwenyekiti CCM (Zanzibar) Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais Samia
Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Waziri
Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim, Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi
Seif Ali Iddi wakiwa pamoja na Wajumbe wengine wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu
ya Chama cha Mapinduzi CCM, mara baada ya kumalizika kwa kikao hicho jijini Dar
es Salaam.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Makamu
Mwenyekiti CCM (Zanzibar) Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya kumalizika kwa
kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichofanyika jijini Dar es
Salaam.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri
Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Dkt.
Salim Ahmed Salim mara baada ya kumalizika kwa kikao cha Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi
CCM kilichofanyika jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
No comments