WAKALA WA HUDUMA WA SERIKALI (GPSI), KUTANGAZA ZABUNI YA VIFAA TAREHE 27 MWEZI HUU KWA MWAKA 2017/18
Wakala
wa ununuzi srikalini unatarajiwa
kutangaza zabuni ya vifaa siku ya tarehe 27 mwezi wa pili mwaka 2017/18 ambapo
mikataba yote ya uzabuni ya serikari itapitishwa na wakala huo mara baada ya
kuhakikisha vigezo vya zabuni husika vina sifa ya kupata zabuni hiyo.
Amesema
hay oleo katibu mtendaji wa wakala wa huduma wa serikala GPSI Bw. Jacob Kibona
kuwa siku hiyo wakala utatangaza zabuni
ya vifaa na huduma kwa watakaotaka kufanya huduma na taasisi za umma kwa mwaka
mmoja wa faedha 2017/2018 na kutakuwa na
aina 25 za uzabuni ambapo 12 ni za vifaa na 13 ni za huduma mbalimbali ambapo
mikataba yote iakayotolewa itakuwa ni
yam waka mmoja
.
Ameongeza
Bw. Kibona kusema kuwa mikataba ya huduma na vifaa hivyo haitakuwa na bei kwa
mujibu wa marekebisho ya sharia ya mwaka 2016 tozo asilimia mbili kwa kila
muamala haitokuwepo na badala yake kiasi cha shilingi laki moja tu kitalipwa
mara moja kwa mwaka kwa kila mkataba maalum wa kufanya kazi na taasisi za
serikali.
Amebainisha
kuwa wakala kwasasa hautatoa wala
kutangaza zabuni kwajili ya huduma kama ulinzi,kumbi za mikutano, upatikanaji
wa tiketi kwa usafiri wa ndege na hoteli na kueleza kuwa huduma hizo zitakuwa
zikishughulikiwa na taasisi husika moja kwa moja.
Mikataba
ya uzabuni wa vifaa na huduma wa serikali nchini ilitolewa na kutumika hadi sasa ni yam waka 2014/15
ambayo ni ya miaka mitatu 2015/16 ya miaka miwili na 2016/17 ambayo itamalizika
ifikapo mwezi juni 30 2017
No comments