Breaking News

MEYA: KAMPUNI ZOTE ZILIZOPEWA TENDA NA HALMASHAULI YA JIJI KUFATA SHERIA NA TARATIBU.

Mstahiki meya wa jiji la Dar Es Salaam Mh. Isaya Mwita ametoa amezitaka kampuni ziliyopewa tenda ya kukusanya ushuru na mapato na Halmashauli ya jiji yatokanayo na uegeshwaji wa magari, pikipiki na bajaji jijini Dar Es Salaam kufuata sheria ikiwa ni sehemu ya kupunguza uvunjifu wa sheria pamoja na malalamiko yatokanyo na wananchi kuharibiwa na kufungiwa magari yao.

Nimekusogezea video ya dakika 4 ya mstahiki meya wa jiji hakizungumzia swala hilo....



No comments