Breaking News

TGNP YAENDESHA KONGAMANO LA KITAIFA JUU YA MIPANGO YA MAENDELEO ENDELEVU YA DUNIA

Kongamano hilo la siku mbili ambalo liliwakutanisha wadau pamoja na kutafakari na kuimarisha ushiriki wa wadau wa ndani katika kukusanya, kuchambua na kutoa taarifa za usawa wa kijinsia ikiwa ni pamoja na uweseshaji wa wanawake katika nyanja zote ikiwa ni mijini na vijijini waweze kujikwamua na kujitambua.


Akizungumza na mtandao huu mkurugenzi wa matanadao wa jinsia Tanzania (TGNP) Bi, Lilian Liundi anaelezea malengo ya kongamano hilo....


No comments