KESI YA KADA WA CCM ALIYETUHUMIWA KUGHUSHI KITAMBULISHO CHA USALAMA WA TAIFA AACHIWA HURU BAADA YA JAMHURI KUSEMA HAWANA NIA KUENDELEA NA KESI
Miezi
kadhaa iliyopita aliyekuwa mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi
‘UVCCM’ Arusha, Lengai Ole Sabaya alishtakiwa kwa kosa la kujifanya ofisa
usalama wa Taifa na kughushi kitambulisho cha usalama wa taifa.
Kesi
hiyo imetolewa maaamuzi na mahakama ya hakimu mkazi Arusha leo December 14 2016
ambapo imemuachia huru Lengai Ole Sabaya baada ya upande wa Jamhuri kusema
hawana nia ya kuendelea na kesi hiyo.
No comments