KISA MADENI: MALI ZA KAMPUNI YA MOHAMED TRANS KUPIGWA MNADA.
Kampuni hiyo pamoja na mali nyingine, inamiliki mabasi ya Mohamed Trans yanayofanya safari zake kwenye mikoa mbalimbali.
Mnada huo utafanyika tarehe 4/11/2016,mkoani Shinyanga katika Yard ya Mohamed Trans
Mnada huo utaendeshwa na Kampuni ya udalali ijulikanayo kama Sukah Security Company Limited Auction Mart & Court Broker.
No comments