Breaking News

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI LUSAKA ZAMBIA

zav1
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka mchana tayari kumwakilisha Rais Dkt John Pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Sita wa Zambia Mhe. Lungu uwanja wa Mashujaa kesho Septemba 14, 2016
zav2
zav3

No comments