WAZIRI UMMY, AKABIDHI ZAWADI WASHINDI WA KAMPENI YA USAFI.
Waziri
wa Afya ,Maendeleo ya Jamii , Jinsia na Watoto Bi. Ummy Mwalimu
akiongea na wadau mbalimbali waliofanya vizuri ngazi ya Wilaya na
Halmashauri kwenye kampeni ya kutunza usafi wa mazingira na Afya nchini
hawapo pichani wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi hao
jijini Dar es salaam
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya ,Maendeleo ya Jamii , Jinsia na Watoto Dkt.
Mpoki Ulisubisya akiongea na wadau mbalimbali waliofanya vizuri ngazi
ya Wilaya na Halmashauri kwenye kampeni ya kutunza usafi wa mazingira
na Afya nchini hawapo pichani wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa
washindi hao jijini Dar es salaam.
Wadau
mbalimbali waliofanya vizuri ngazi ya Wilaya na Halmashauri kwenye
kampeni ya kutunza usafi wa mazingira na Afya nchini wakimsikiliza kwa
makini Mgeni rasmi Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii , Jinsia na Watoto
Bi. Ummy Mwalimu hayupo pichani wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi
kwa washindi hao jijini Dar es salaam.
Waziri
wa Afya ,Maendeleo ya Jamii , Jinsia na Watoto Bi. Ummy Mwalimu wa
kwanza kushoto akimkabidhi tuzo ya heshima Mwakilishi wa Familia ya
marehemu Sarah Dumba aliyekuwa Mhariri na mtangazi wa RTD wakati wa
hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi hao jijini Dar es salaam
Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii , Jinsia na Watoto Bi. Ummy Mwalimu
akitoa zawadi za cheti na Pikipiki kwa washindi wa jumla kwenye kampeni
ya kutunza usafi wa mazingira na Afya nchini ambao ni wawakilishi wa
kijiji cha Matiganjora Kata ya Ikuna Mkoa wa Njombe wakati wa hafla ya
kukabidhi zawadi kwa washindi hao jijini Dar es salaam.
Picha zote na Ally Daud- maelezo
No comments