WAZIRI PROF. MBARAWA ATEMBELEA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, akisisitiza
jambo kwa wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA)
hawapo pichani, wakati alipoongea nao jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa akitoa
maelekezo kwa Maafisa Uhamiaji katika Kiwanja cha Ndege Cha Kimataifa
Cha Julius Nyerere(Terminal II), alipotembelea kuangalia utendaji kazi
na vifaa vya Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, akitoa
malekezo wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege
Tanzania (TAA) Mhandisi George Sambali (Katikati), alipotembelea Mamlaka
hiyo.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, akizungumza
na Mawakala wanaofanya kazi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere (JNIA),alipotembelea kuona utendaji kazi wa Mamlaka ya
Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA).
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, akimsikiliza
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Swissport, Gaudence Temu, wakati
alipotembelea Ofisi hiyo jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, akimsikiliza
Meneja Biashara wa Kampuni ya BAM, Bw. Chris Bowers, wakati
alipotembelea Jengo la Tatu la Abiria (Terminal III), jijini Dar es
Salaam.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, akitoa
maelekezo kwa Wahandisi wa Kampuni ya BAM, wakati alipotembelea ujenzi
wa Jengo la Tatu la Abiria (Terminal III),kuona maendeleo ya ujenzi
wake.
Picha na Benjamini Sawe-Maelezo.
No comments