TIMU 16 ZA MABENKI KUCHUANA KATIKA LIGI YA BRAZUKA KIBENKI
Mwakilishi wa Benki ya Twiga Bancorp, Abdallah Juma (kulia), akichagua tiketi katika hafla ya utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka Kibenki’ itakayoshirikisha timu za soka na mpira wa kikapu kutoka katika benki zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inatarajiwa kutimua vumbi kuanzia Julai 30 mwaka huu. Hafla ya utambulisho wa ligi hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni baadhi ya wawakilishi wa benki hizo; Richard Mwalwiba wa NMB, Nasikiwa Berya wa Barclays na Raymond Bunyinyiga wa Barclays.
Mwakilishi
wa Benki ya Ecobank, Christian Israel (kulia), akichagua tiketi katika
hafla ya utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka
Kibenki’ itakayoshirikisha timu za soka na mpira wa kikapu kutoka katika
benki zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inatarajiwa kutimua
vumbi kuanzia Julai 30 mwaka huu. Hafla ya utambulisho wa ligi hiyo
ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni baadhi ya wawakilishi
wa benki hizo; Nasikiwa Berya na Raymond Bunyinyiga wa Barclays.
Mwakilishi
wa Benki ya CBA, Erick Ruyanga (kulia), akichagua tiketi katika hafla
ya utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka Kibenki’
itakayoshirikisha timu za soka na mpira wa kikapu kutoka katika benki
zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inatarajiwa kutimua vumbi
kuanzia Julai 30 mwaka huu. Hafla ya utambulisho wa ligi hiyo ilifanyika
jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni baadhi ya wawakilishi wa benki
hizo; Nasikiwa Berya na Raymond Bunyinyiga wa Barclays.
Mwakilishi
wa Benki ya Exim, Grayson Malisa (kulia), akichagua tiketi katika hafla
ya utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka Kibenki’
itakayoshirikisha timu za soka na mpira wa kikapu kutoka katika benki
zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inatarajiwa kutimua vumbi
kuanzia Julai 30 mwaka huu. Hafla ya utambulisho wa ligi hiyo ilifanyika
jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni baadhi ya wawakilishi wa benki
hizo; Nasikiwa Berya na Raymond Bunyinyiga wa Barclays.
Mwakilishi
wa Benki ya KCB, Iddy Nyunga(kulia), akichagua tiketi katika hafla ya
utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka Kibenki’
itakayoshirikisha timu za soka na mpira wa kikapu kutoka katika benki
zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inatarajiwa kutimua vumbi
kuanzia Julai 30 mwaka huu. Hafla ya utambulisho wa ligi hiyo ilifanyika
jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni mwakilishi kutoka Barclays,
Raymond Bunyinyiga.
Mwakilishi
wa Benki ya DTB, Iddy Yakoub (kulia), akichagua tiketi katika hafla ya
utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka Kibenki’
itakayoshirikisha timu za soka na mpira wa kikapu kutoka katika benki
zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inatarajiwa kutimua vumbi
kuanzia Julai 30 mwaka huu. Hafla ya utambulisho wa ligi hiyo ilifanyika
jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni baadhi ya wawakilishi wa benki
hizo; Richard Mwalwiba wa NMB, Nasikiwa Berya wa Barclays na Raymond
Bunyinyiga wa Barclays.
Mwakilishi
wa Benki ya NMB, Nuhu Mkuchu (kulia), akichagua tiketi katika hafla ya
utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka Kibenki’
itakayoshirikisha timu za soka na mpira wa kikapu kutoka katika benki
zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inatarajiwa kutimua vumbi
kuanzia Julai 30 mwaka huu. Hafla ya utambulisho wa ligi hiyo ilifanyika
jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni baadhi ya wawakilishi wa benki
hizo; Nasikiwa Berya na Raymond Bunyinyiga wa Barclays.
Mwakilishi wa Benki ya Barclays, Rajabu Abdallah (kulia), akichagua tiketi katika hafla ya utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka Kibenki’ itakayoshirikisha timu za soka na mpira wa kikapu kutoka katika benki zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inatarajiwa kutimua vumbi kuanzia Julai 30 mwaka huu. Hafla ya utambulisho wa ligi hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni baadhi ya wawakilishi wa benki hizo; Richard Mwalwiba wa NMB, Nasikiwa Berya wa Barclays na Raymond Bunyinyiga wa Barclays.
Mwakilishi wa Benki ya Citibank, Silver Samba (kulia), akichagua tiketi katika hafla ya utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka Kibenki’ itakayoshirikisha timu za soka na mpira wa kikapu kutoka katika benki zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inatarajiwa kutimua vumbi kuanzia Julai 30 mwaka huu. Hafla ya utambulisho wa ligi hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni baadhi ya wawakilishi wa benki hizo; Richard Mwalwiba wa NMB, Nasikiwa Berya wa Barclays na Raymond Bunyinyiga wa Barclays.
No comments