WMA YASHIRIKI MAONYESHO YA BIASHARA, DIMANI - ZANZIBAR
Dimani, Zanzibar - Maofisa kutoka wakala wa vipimo Tanzania wakitoa Elimu kuhusu matumizi sahihi ya Vipimo kwa wadau katika Maonesho ya Biashara yanayofanyika kwenye Viwanja vya Dimani Zanzibar.
Elimu ikiendelea kutolewa kuhusu matumizi sahihi ya Vipimo ikiendelea kutolewa kwa wadau katika Maonesho ya Biashara kwenye Viwanja vya Dimani Zanzibar.
No comments