Breaking News

WAANDISHI WA HABARI 72 KUCHUANA TUZO ZA EJAT 2023, MAJINA YOTE HAYA HAPA

Majaji saba wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) 2024 wamehitimisha kazi ya kutathmini ubora na weledi wa kazi zipataxo 1,135 na kuwateua waandishi wa habari 72 watakaoingia katika kinyang'anyiro cha kumtambua mahindi wa kwanza, wa pili na wa tatu na mshindi wa jumla.

Kati ya waandishi wa habari 72, wanaume ni 45 (sawa na 62.5%) na wanawake 27 (sawa na 37.5%). Kati ya wateule hao, wateule 14 (19%) wanatoka katika runinga; 13 (18%) wanatoka vyombo vya mtandaoni, redio 20 (28%) na wateule 25 (35%) wanatoka kwenye magazeti





No comments