Breaking News

BANANGA MGENI RASMI BARAZA LA UVCCM WILAYA YA KINONDONI

Katibu wa Siasa, Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Mkoa wa Dar es Salaam Komredi Ally Bananga anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi Kikao cha Baraza la kawaida la UVCCM Wilaya ya Kinondoni tarehe 22 Agosti, 2024.

Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi (W) Kinondoni imesema mkutano huo utafanyika katika Ukumbi wa Manispaa Kinondoni saa 8:00 mchana.

No comments