Breaking News

DKT. BITEKO ATEMBELEA BANDA LA NHIF MAONYESHO YA OSHA JIJINI ARUSHA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Biteko (kulia), akisisitiza jambo baada ya kupata maelezo ya shughuli zinazofanywa na NHIF kwenye Maonesho ya Afya na Usalama Mahali pa Kazi (OSHA), katika uwanja wa General Tyre, Njiro jijini Arusha, Aprili 28, 2024.

NHIF inashiriki katika maonesho kutoa elimu na kuhamasisha wananchi kujiunga na Mfuko ili kuwa na uhakika wa kupata huduma za matibabu.